Utakazo nyumbani kutokana na laana. 

                            

By Vagn Rasmussen

 

Translated by Jackline Jepchirchir. Original title: Spiritual Housecleaning of occult curses.

           

 

 


                                                                                                  

 

 

Utakazo nyumbani kutokana na laana.

Kwa ajili ya upako zaidi na nguvu za kiungu.

 

 

Hatua 8 za kutaza nyumbani kwako.

Utakazo wa moyo-nyumba-na jamii.

Njia  ya kupata nguvu katika roho, nguvu juu ya ibilisi.

Njia ya upako na ufifio.

 

 

Ahadi  za Mungu zinategemea utiifu wetu.

Vitu zinaonekana yaweza kuwa na maana kiroho(spiritual).

Tunapomtafuta Mungu, atatuonyesha mambo yaliyonajisiwa(defiled).

Karama ya vitu vya uchawi vilivyoaribiwa vilikadiriwa na waefeso kuwa ni kama milioni 4 (kwa kiwango cha sasa) (Matendo ya Mitume 19:18-20) Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda. Wengine waliokuwa wameshughulikia mambo ya uchawi hapo awali, walikusanya vitabu vyao, wakavichoma mbele ya wote. Walikisia gharama ya vitabu hivyo, wakaona yafikia vipande vya fedha elfu hamsini.

Toba inatuweka karibu na Mungu na kuzuia shetani asiweke msingi katika maisha yetu.

Picha cha ngono(Pornography) na vitu kama hizo katika nyumba zetu zinasononesha Roho Mtakatifu na ataondoka kama vile katika maisha ya Samsoni, hivyo mtu anawezabaki bila nguvu za kiroho kama Samsoni.

 

Agano la kale inaongoea kuhusu nchi iliyonajisiwa zaidi ya mara 15.

Nyumba, kama vile nchi,yaweza kunajisiwa ama kuchafuliwa kiroho.

Mifano ni kama yafuatayo:Note: Viking’s place of sacrificing slaves in Lund, Sweden. Aborigine’s barren circles in Australia, stones arranged in a circle in Cheztochowa, Poland. Freemasonries secret rooms, Satanists meeting place of sacrifice. Chambered barrows, Hekalu ya wahindu, Hekalu ya wabuddha nk.

 

Familia nyingi za wakatoliki yamenajisiwa, ndio sababu waume wengi na wanao ni walevi.

Rosari inapatikana kwa familia nyingi,  inasimamia maombi tofauti kwa waliokufa(saints)

Kuomba yule aliyekufa ni chukizo kwa Mungu na ni karibu na mapepo(spiritism).

(Crucifix) Msalaba iko tupu leo.

Picha ama sanamu za Maria, Madonna(the black Madonna), “watakatifu”nk.

 

Ishara za kunajisiwa kiroho:

1) Magojwa ya ghafla yasiyo na tiba.

2) Ndoto mbaya mara kwa mara.

3) Mkesho na kutolala usiku.

4) Shida za kitabia.

5) Shida kijamii – vita mara kwa mara, kubishana,na kutoelewana kwa mawasiliano.

6) Kukosa amani.

7) Kuangaika, watoto kusumbuka.

8) Magonjwa yasiyoelezeka ama kufungika dhambini.

9) Zimwi(Ghosts) ama kazi za kishetani (ambapo watoto wadogo hasa wanahusika.)

10) Poltergeists, (Vyombo kuelea hewani, kutoka sehemu hadi nyingine na mapepo)

11) Tusi na harufu isiyoelezeka.

12) Uzito fulani hewani ambapo inakuwa vigumu kufuta hewa.

13) Kichefuchefu mara kwa mara na maumivu ya kichwa.

 

Kipawa cha kutambua miroho inaitajika hapa.

Kuna tofauti kati ya kuingiliwa na mapepo na kupagawa na mapepo.

 

Utakazo nyumbani ni utawa (devotion) kwa Mungu.

 

(Sources) Chanzo cha kunajisiwa.

Orodha haijakamilika,(not comprehensive).

 

1) Vitu vinavyohusika na ibada ya mpagani-(heathen) ,(Voodoo dolls, spirit masks, nyoka, joka (dragons), thunderbirds, phoenixes nk.

2) Vitu vinavyohusikana na dhambi za zamani. (Mkufu,barua za mapenzi, picha)

3) Vitu ambavyo historia yake havijulikani, (Zikabidhi kwa baba, ombea vitu hivyo.Tatizo likizidi, achana nazo)

4) Vitu ambavyo vimekuwa kama miungu maishani mwetu: (Fashoni-Collections, antiques, mavazi, pesa, jewellery, nk.

5) Ouija board, (kwa jina lingine ni meza ya mchawi)

6) Michezo kama(Dungeons and dragons, Mkuu wa anga, Poke man (pocket – monster), na kanda zingine zinazo husika na uchawi, ukali kupita kiasi, sanamu za kishetani.

7)Wabuddha, wahindu  na ibada ya miungu mengin kaskasini.

8)Aina ya utamaduni ama kuabudu vitu fulani, Egyptian ankh (msalaba yenye utanzi(loop) upande wa juu.

9) Vyombo vinavyohusika na ushetani, uchawi, kisasa,Yoga, umoja, Zodiac, Crescent moon, crystal ball, pyramids, ancient obelisks or the Asherah poles of old testament, martial arts, judo karate).

10) Mambo yanayohusika na astrology, horoscopes, and geomancy, Edgar Cayce, Jean Dixon.

11) Comic books, Rock posters, hard rock, misiki na vitu vinavyoonyesha wazi picha za giza.

12) Vyombo vya Pornographia wa aina yeyote, (pamoja na kanda za mapenzi, vitabu, cable na channels za Televisheni na kwenye mtandao.)

13) Michoro zinazo onyesha wazi ushetani, kwa mfano:nyoka, miroho, kifo, gargoyles, kombe la kichwa(skulls) na majoka(dragons)  nk.

14) Habari kuhusu: (Mormonism, Washahidi wa Yehovah , Umoja wa makanisa, usayansi, kuabudu kiasili(mizimu), Northern Mythology, Uislamu, Rosicrucianism, Zen, Hare Krishna, nk

15) Vitu vinavyohusikana na madhehebu za kisiri kama, Freemasonry, nyota ya kaskasini, Knights of Malta, Kombe la kichwa na mifupa, nk.

16) Vitabu na filamu zingine za watoto kama, Harry Potter, ambazo zinatia moyo watoto watafute namna ya kupata nguvu za kiroho ambazo hazitokani na Mungu.

17)Talasimu(Charms) za bahati nzuri,Amulets, fetishes.

18) Pete za kimasonic, Masonic aprons, vitabu na peteoza-oriental, yin and yang symbols, fortune telling kutumia matawi, tarot cards, talisman, nk.

19) Filamu zenye ujumbe mbaya, Madhara(violence), lugha ya kudanganya na anasa.

20) Vitabu zinazotia mkaso mapenzi, kifo na uaribivu.

21) Vinyango (Masks)

22) Halloween:chanzo cha Celtic festival of Sanhedrin, mkuu wa kifo na mapepo. Kufurahisha roho inayo tembea-wandering spirits black sheep, paka, farasi,na binadamu walitolewa ili kuteketezwa.

 

Sisi wote tunaitaji vyumba vyetu bila mawaa na katika hali nzuri.

Hivyo ndivyo tunastahili kutamani roho zetu ziwe!

1.Wakorinto 3: 16 Je, hamjui kwamba ninyi ni hekalu la Mungu, na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?

 

 

Hatua za utakazo:

Ondoa chachu (leaven). 

Chachu kwenye maandiko ni dhambi, uovu au funzo la uongo.

Kwa nini kanisa linakosa nguvu?  Yoshua 7:1  .Achani.

Kwa nini mamlaka yetu juu ya adui imekuwa-compromised?

Kwa nini ufifio umekawia? Yoshua 7:12-13 kuna kitu ambacho kimelaaniwa miongoni mwenu.

Vyombo vya sanamu katika vyumba vyetu ni laana. Kumbukumbu la torati 7:25-26 sanamu za miungu muvichome moto. Msitamani fedha na dhahabu ndani yao wala kuzichukua msije mkaangamizwe nazo.Maana ni chukizo mbele za Mungu.Ms/26 wala msilete chukizo ndani ya nyumba yenu, msije mkalaana nanyi, bali mlikatae maana limelaaniwa.

 

Hatua saba za utakazo:

 

1. Jikabidhi mbele za mungu akuchunguze!

Kujikosoa mwenyewe haitoshi na inapotosha.

Fanya jinsi Daudi alivyofanya, aliomba: nichunguze ee Bwana, na utazame moyo wangu, nijaribu kama kuna njia yoyote ya uovu ndani yangu, na uniongoze katika njia ya uzima. Zaburi. 139: 23-24.

 

2. Jitakaze. Takaza nyumba yako , kwa kuotoa picha za pornographia na dhambi, vitabu vilivyonajisika nk.

(Utakazo inafanywa na Mungu kwa ajili ya kusudu lake!)

 

3.Tambua vyombo vilivyonajisika.

Dhambi ya Achani ilitambulika sakafuni kwenye hema yake, ikiwa na fedha (shekel 50) chini yake.

4. Jitenge kutokana na vitu hivyo vilivyonajisika

Ondoa kila kitu kinacho husika na hizo miroho-occult, ibada ya sanamu na dhambi na usiteketeza.

 

5. Umaanishe .

Usiruhusu wataoto, mme au mke wako anajisi nyumba yako. wakataze! – ujitahidi.

6. Mkane adui na uhusiano wowote naye.

Vunja agano lolote au nira za maovu.Mkane kwa SAUTI, na urudie hivi ukikana kwa vyombo vyote na kwa kila mtu aliyehusika.

 

7. Mwishowe, weka wakfu-(consecrete) maisha yako na mali yako kwa utukufu wa Mungu:

(Wakristu wengine huchagua kupaka mafuta-(anoint)nyumba kama ishara ya Roho Mtakatifu. Hii inaitwa tendo la kinabii.)

Nchi zingine kama India wanatumia maji kama mafuta, wananyunyisha maji katika kila chumba.

Katika hali nzito sana, kufunga na kuomba inahitajika.

Mariko 9:29… "Pepo wa aina hii hawezi kutoka isipokuwa kwa sala tu."

.

 

 

 

Tekstboks: Kielelezo.
Katika  Bangalore, India ,baada ya mkutano wa jioni, wakaniletea mama moja, ambaye mapepo walimsumbua-(tormented)  Alisaga meno kwa ukali na kwa nguvu, hangeweza kutulia.Hadidhi yake ya kuhuzunisha ni kwamba alikuwa ameolewa na mhindu.mama huyu alikuwa mkristu kabla ya kuolewa ,kwa sasa  ameolewa miaka miwili iliyopita.Mme wake pamoja na jamii yake wakamlazimisha kwenda na wao katika hekalu yao na kutoa dhabiu kwa miungu yao.Nyuma ya kila sanamu, kuna pepo. Kuanzia wakati huo akapagawa na mapepo.Akawa anaangaika kutafuta msaada.Waliokuwa nyuma yake ni wamama wanne ambao walikuwa wamemaliza tu maombi ya kufunga kwa siku 40. Kwa hakika kulikuwa na nguvu nyingi kwa ajili ya maombi. Katika hali hiyo, ikawa rahisi sana kwa huyo mama kukombolewa na kuwekwa huru katika jina la Yesu Kristu.